sw_tn/num/32/10.md

20 lines
292 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hasira ya BWANA iliwaka
"BWANA akakasirika sana"
# hakuna mtu
"hakuna mtu kati ya watu." Kirai hiki kinamaanishsa watu wote waume kwa wake
# walionifuata kwa ukamilifu
"walinitii kwa ukamilifu"
# Yefune ... Nuni
Haya ni majina ya wanaume
# Mkenizi
Hili ni jina la kikundi cha watu