# hasira ya BWANA iliwaka "BWANA akakasirika sana" # hakuna mtu "hakuna mtu kati ya watu." Kirai hiki kinamaanishsa watu wote waume kwa wake # walionifuata kwa ukamilifu "walinitii kwa ukamilifu" # Yefune ... Nuni Haya ni majina ya wanaume # Mkenizi Hili ni jina la kikundi cha watu