sw_tn/num/24/18.md

20 lines
380 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Balaamu anamaliza unabii wake wa kwanza kati ya nabii nne alizotoa.
# Edomu atakapokuwa miliki ya Israeli
"Waisraeli wataimilki Edomu"
# Na Seiri pia itakuwa milki yao
"Israeli atawaangamiza watu wa Seiri"
# Kutoka kwa Yakobo atatoka mfalme
"Yakobo" ni kiwakilishi cha watu wote wa Isreli
# katika mji
"mji wa Ari ambao Balaki alikutana na Balaamu"