# Taarifa kwa ujumla Balaamu anamaliza unabii wake wa kwanza kati ya nabii nne alizotoa. # Edomu atakapokuwa miliki ya Israeli "Waisraeli wataimilki Edomu" # Na Seiri pia itakuwa milki yao "Israeli atawaangamiza watu wa Seiri" # Kutoka kwa Yakobo atatoka mfalme "Yakobo" ni kiwakilishi cha watu wote wa Isreli # katika mji "mji wa Ari ambao Balaki alikutana na Balaamu"