forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
929 B
Markdown
32 lines
929 B
Markdown
|
# walivitenga hivi vitu
|
||
|
|
||
|
kutenga ni kuweka wakfu. Maana yake ni kwamba sadaka hizi waliziweka wakfu kwa ajili ya BWANA
|
||
|
|
||
|
# siku ambayo Musa alimimina mafuta kwenye madhabahu
|
||
|
|
||
|
neno "siku" linamaanishsa kipindi chote cha wakati huo. Viongoziwa Israeli waliviweka wakfu vitu hivi kwa muda wa siku 12. "Musa alipomimiina mafuta kwenye madhabahu"
|
||
|
|
||
|
# kila sahani ya fedha ailikuwa na uzani wa shekeli 130.
|
||
|
|
||
|
Tazama 7:12
|
||
|
|
||
|
# kila bakuli lilikuwa nanuzani wa shekeli 70
|
||
|
|
||
|
Tazama 7:12
|
||
|
|
||
|
# kwa kipimo cha mahali patakatifu
|
||
|
|
||
|
Tazama 7:12
|
||
|
|
||
|
# vyombo vyote vya fedha vilikuwa na uzani wa ... vyombo vyote vya dhahabu vilikuwa na uzani wa
|
||
|
|
||
|
"vyombo vyote vya fedha kwa pamoja... vyombo vyote vya dhahabu kwa pamoja vilikuwa na uzani wa"
|
||
|
|
||
|
# vyombo vya fedha
|
||
|
|
||
|
Hii inamaanisha sadaka zote zile zilizokuwa zimetengenezwa kwa fedha, sahanizote na mabakuli.
|
||
|
|
||
|
# Kila yale mabakuli kumi na mbili vya dhahabu... yalikuwa na uzani wa shekeli kumi
|
||
|
|
||
|
Tazama 7:12
|