# walivitenga hivi vitu kutenga ni kuweka wakfu. Maana yake ni kwamba sadaka hizi waliziweka wakfu kwa ajili ya BWANA # siku ambayo Musa alimimina mafuta kwenye madhabahu neno "siku" linamaanishsa kipindi chote cha wakati huo. Viongoziwa Israeli waliviweka wakfu vitu hivi kwa muda wa siku 12. "Musa alipomimiina mafuta kwenye madhabahu" # kila sahani ya fedha ailikuwa na uzani wa shekeli 130. Tazama 7:12 # kila bakuli lilikuwa nanuzani wa shekeli 70 Tazama 7:12 # kwa kipimo cha mahali patakatifu Tazama 7:12 # vyombo vyote vya fedha vilikuwa na uzani wa ... vyombo vyote vya dhahabu vilikuwa na uzani wa "vyombo vyote vya fedha kwa pamoja... vyombo vyote vya dhahabu kwa pamoja vilikuwa na uzani wa" # vyombo vya fedha Hii inamaanisha sadaka zote zile zilizokuwa zimetengenezwa kwa fedha, sahanizote na mabakuli. # Kila yale mabakuli kumi na mbili vya dhahabu... yalikuwa na uzani wa shekeli kumi Tazama 7:12