forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.2 KiB
Markdown
40 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Sentensi Unganishi:
|
||
|
|
||
|
Mfarisayo alimwalika Yesu kula nyumbani kwake.
|
||
|
|
||
|
# Taarifa kwa Ujumla
|
||
|
|
||
|
Ilikuwa ni desturi ya wakati huo mtazamaji kuhudhuria chakula cha jioni bila kula.
|
||
|
|
||
|
# Sasa mmoja wa mafarisayo
|
||
|
|
||
|
Alama ya mwanzo mpya wa habari na inatambulisha mfarisayo kwenye habari.
|
||
|
|
||
|
# aliegemea kwenye meza ili ale
|
||
|
|
||
|
"Alikaa kuzunguka kwenye meza kwa ajili ya chakula." Ilikuwa ni desturi kwa chakula cha starehe kama hiki chakula cha jioni kwa wanaume kula huku wakiwa wamejilaza kwa raha wakizunguka meza.
|
||
|
|
||
|
# Tazama kulikuwa na mwanamke mmoja
|
||
|
|
||
|
Neno "Tazama" linatutazamisha sisi kwa mtu mwigine katika hadithi. Lugha yako inaweza ikawa na namna ya kufanya hivi.
|
||
|
|
||
|
# aliyekuwa na dhambi
|
||
|
|
||
|
Yawezekana alikuwa kahaba. "Aliyeishi maisha ya dhambi" au "Ambaye alikuwa na sifa za kuishi maisha ya dhambi."
|
||
|
|
||
|
# chupa ya manukato
|
||
|
|
||
|
"chupa hii ilitengenezwa kwa jiwe laini." Chupa ni laini, mwamba mweupe. watu walihifadhi vitu vya thamani katika hiyo chupa.
|
||
|
|
||
|
# mafuta ya manukato
|
||
|
|
||
|
"na manukato ndani yake." manukato yalikuwa ni mafuta yaliyokuwa yanatoa harufu nzuri ndani yake. watu walijipaka wao wenyewe au kunyunyizia nguo zao ili wanukie vizuri.
|
||
|
|
||
|
# kwa nywele za kichwa chake
|
||
|
|
||
|
"Kwa nywele zake"
|
||
|
|
||
|
# kuwalowanisha kwa manukato
|
||
|
|
||
|
"mwaga manukato juu yao"
|