sw_tn/jhn/20/08.md

12 lines
367 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mwanafunzi mwingine
Yohana anatumia neno hili kwa kuonesha unyenyekevu akimaanisha yeye mwenyewe pasipo kutaja jina lake.
# aliona na kuamini
Alipoona kuwa kaburi lipo wazi, aliamini ya kuwa yesu alikuwa amefufuka kutoka wafu
# bado hawakuyajua maandiko
hapa mwandishi anawaongelea wanafunzi ambao hawakujua bado maandiko yanayosema kuwa Yesu angefufuka tena.