sw_tn/jhn/19/17.md

12 lines
310 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwenye eneo liitwalo fuvu la kichwa
Unaweza kutafsiri kama: "kwenye eneo ambalo watu wanaliita fuvu la kichwa"
# ambalo kwa Kiebrania huitwa "Golgotha"
Kiebrania ni lugha ya Waisraeli
# pamoja naye wanaume wawili
Unaweza kutafsiri kama: "pia waliwasulibisha wahalifu wengine wawili kwenye misalaba yao"