sw_tn/jhn/12/44.md

12 lines
241 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla
Huu ni wakati mwingine ambapo Yesu anaanza kuongea na makutano
# Yesu alilia na kusema
Hii inamaanisha kuwa Yesu alipiga kelele na kusema
# yeye anionaye mimi amemwona yule aliyenituma
"yeye" hapa inamaanisha "Mungu"