sw_tn/jhn/12/32.md

12 lines
310 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Katika mstari wa 33 Yohana anaeleza historia ya maneno ya Yesu aliposema habari za kuinuliwa juu.
# nitakapoinuliwa juu kutoka katika nchi
Hapa Yesu anamaanisha kusulubiwa kwake.
# nitawavuta wote kwangu
Kwa kusulubiwa kwake, Yesu atafanya njia kwa ajili ya kila mmoja kumwamini yeye.