sw_tn/jhn/12/20.md

16 lines
363 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kisha baadhi ya Wayunani
hii inatoa utambulisho wa wahusika wapya katika simulizi
# kuabudu katika sherehe
Yohana anamaanisha kuwa Wayunani walikuwa wanaenda kumwabudu Mungu wakati wa Pasaka.
# Bethsaida
huu ulikuwa mji katika jimbo la Galilaya
# na kisha wakamwambia Yesu
Filipo na Andrea wakamwambia Yesu kuhusiana na Wayunani walioomba kukutana naye.