sw_tn/jhn/11/51.md

8 lines
197 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kufa kwa ajili ya taifa
Neno "taifa" linatumika kuonyesha watu wa taifa la Israel.
# Watoto wa Mungu
Hili linamaanisha watu wa Mungu kwa njia ya imani katika Yesu na ni watoto wake wa kiroho.