forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
369 B
Markdown
12 lines
369 B
Markdown
|
# Nini, Kristo anaweza kutokea Galilaya?
|
||
|
|
||
|
"Kristo hawezi kutoka Galilaya."
|
||
|
|
||
|
# Maandiko hayasemi kwamba Kristo atatoka katika ukoo wa Daudi na kutoka Bethlehemu, kijiji alichokuwa Daudi?
|
||
|
|
||
|
"Maandiko yanafundisha kwamba Kristo atatoka katika ukoo wa Daudi na kutoka Bethlehemu, kijiji ambacho Daudi alikuwa."
|
||
|
|
||
|
# Maandiko hayajasema?
|
||
|
|
||
|
"Manabii waliandika katika maandiko."
|