sw_tn/jhn/06/35.md

20 lines
559 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mimi ni mkate wa uzima
Yesu anajifananisha na mkate. Kama vile mkate ulivyo muhimu kwa maisha yetu ya mwili, Yesu ni wa muhimu kwa maisha yetu ya kiroho.
# aaminiye katika
Hii ina maanisha kuaminia kuwa Yesu ni Mwan wa Mungu, kumtegemea kama mwokozi, na kuishi katika namna ambayo ina mpendeza.
# Wale wote anipaye Baba watakuja kwangu
Mungu Baba na Mungu Mwana ni washirika katwa milele kwa wale wanao mwamini Yesu, Mwana wa Mungu.
# Baba
Cheo muhimu kwa Mungu.
# Yeye ajaye kwangu sitamtupa kamwe nje
"Nitamtunza kila mmoja ambaye ajaye kwangu.