sw_tn/jhn/04/01.md

12 lines
471 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo kwa Ujumla:
Huu ni sehemu nyingine ya simulizi ambayo inamuhusu Yesu na mwanake Msamalia. Mstari huu unatoa habari ya mwanzoni kwa ajili ya sehemu ya simulizi
# Basi Yesu alipofahamu
Neno "sasa" limetumika hapa kuonyesha kusimama kidogo katika simulizi kuu. Hapa Yohana anaanza kuelezea sehemu mpya ya simulizi.
# Yesu mwenyewe hakuwa anabatiza
Nomino hii mwenyewe inongeza msisitizo kwmba sio kwamba Yesu mwenyewe alikuwa akibatiza, bali wanafunzi wake.