sw_tn/jhn/03/07.md

12 lines
324 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kiunganishi cha Sentesi:
Yesu anaendelea kuongea na Yesu.
# Ni lazima uzaliwe mara ya pili
"unapaswa kuzaliwa kutoka juu"
# upepo huvuma popote upendako
Katika lugha ya mwanzo, maneno. upepo na Roho ni maneno sawa. Mwongeaji anamaanisha upepo kama ni mtu. "Roho Mtakatfu ni kama upepo ambao unavuma popote upendapo."