sw_tn/isa/66/18.md

12 lines
287 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa maana mimi ninajua
Hapa "mimi" ina maana ya Yahwe
# matendo yao ... mawazo yao
Hapa "yao" ina maana ya wanaoabudu ambao ni wanafiki ambao Yahwe amekwisha wafafanua awali.
# Puli ... Ludi ... Tubali ... Yavani
Haya ni majina ya maeneo ambayo yapo mbali kutoka nchi ya Israeli.