# Kwa maana mimi ninajua Hapa "mimi" ina maana ya Yahwe # matendo yao ... mawazo yao Hapa "yao" ina maana ya wanaoabudu ambao ni wanafiki ambao Yahwe amekwisha wafafanua awali. # Puli ... Ludi ... Tubali ... Yavani Haya ni majina ya maeneo ambayo yapo mbali kutoka nchi ya Israeli.