sw_tn/heb/05/01.md

36 lines
842 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi:
Mwandishi anafafanua dhambi za makuhani wa Agano la Kale, na kisha anaonyesha kuwa Kristo anao ukuhani bora, na hautokani na ukuhani wa haruni, bali unaotokana na ule waMelkizedeki.
# chaguliwa kutoka miongoni mwa watu
Hii inaweza kusemwa katika muundo tendaji. AT: "ambaye Mungu anachagua kutoka miongoni mwa watu"
# amechaguliwa
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. AT: "Mungu huachangua/ huteuwa"
# kusimama badala ya/ kutenda kwa niaba ya watu
"kuwawakilisha watu"
# wajinga na waovu
"wale walio wajinga waovu"
# waovu
watu ambao wanaishi katika njia za dhambi"
# amezungukwa na udhaifu.
udhaifu wa kuhani mkuu unaongelewa kana kwamba ni nguvu zilizo mzunguka
# udhaifu
hapa inamaanisha hamu ya kutenda dhambi.
# pia anahitajika
Hii inaweza kusemwa katika mfumo tendaji. "Mungu pia anamhitaji"