sw_tn/ezk/20/23.md

16 lines
436 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli.
# nimeuinua mkono wangu kuapa juu yao
Ilikuwa ni mazoea ya kawaida kuapa kiapo kwa kuinua mkono kuelekea mbinguni.
# nitawatawanya kati ya maifa na kuwatawanya miongoni mwa nchi mabali mbali
Tazama tafsiri hii katika 12:14.
# Macho yao yalizitamani sanamu za baba zao
"walikuwa na shauku ya kuabudu sanamu ambazo wazazi wao walizoziabudu."