# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli. # nimeuinua mkono wangu kuapa juu yao Ilikuwa ni mazoea ya kawaida kuapa kiapo kwa kuinua mkono kuelekea mbinguni. # nitawatawanya kati ya maifa na kuwatawanya miongoni mwa nchi mabali mbali Tazama tafsiri hii katika 12:14. # Macho yao yalizitamani sanamu za baba zao "walikuwa na shauku ya kuabudu sanamu ambazo wazazi wao walizoziabudu."