sw_tn/ezk/07/03.md

32 lines
830 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumala:
Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli
# mwisho uko juu yako
"uhai wako umeisha" au "mwisho wa mda wako umefika"
# kutokana na njia zako
"kulingana na mambo unayoyafanya" au "kwa sababu ya mambo maovu ufanyayo"
# nitaleta machukizo yako yote juu yako
"nitaufanya uzoefu wako matokeo ya tabia yako ya machikizo" au "nitakuadhibu kwa kufanya haya mambo ninayoyachukia sana"
# machukizo
Hii inarejelea kwa tabia ambayo Mungu aichukiayo.
# Kwa kuwa macho yangu hayatakuhurumia
"Kwa kuwa sitakutazama kwa huruma"
# nitaleta njia zako juu yako
"nitakufanya mzoefu wa matokeo ya tabia yako mbaya" au "nitakuadhibu kwa mambo mabaya uyafanyayo."
# machukizo yako yatakuwa katikati yako
"matokeo ya tabia yako ya chuki yatakuzunguka" au 2) "sanamu zako zitakuwa pamoja nawe na hazitakuwa na uwezo."