sw_tn/2sa/13/30.md

24 lines
493 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hivyo ikawa
"Ikatukia." Kifungu hiki kimetumika kutambulisha tukio linalofuata katika habari.
# Njiani
"kusafiri njiani"
# Habari ikamfikia Daudi kusema
Hapa inasema kwamba habari ilikuja,mtu alikuja na kumwambia Daudi ile habari.
# Ndipo mfalme alipoinuka
"Kisha mfalme akainuka"
# akachana nguo zake, na kulala juu ya sakafu
Alifanya hivi kuonesha kwamba alikuwa na huzuni sana.
# pamoja na nguo zao zimechanwa
Walifanya hivi kuonesha huzuni yao na kuomboleza pamoja na mfalme.