sw_tn/1pe/05/10.md

20 lines
315 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwa muda mfupi
kwa muda mfupi
# Mungu wa neema zote
"Mungu ambaye ni mwema kabisa"
# aliyekuita kwenye utukufu wake wa milele katika Kristo
"ambaye alituchagua kushiriki utukufu wake wa milele mbinguni kwa sababu tunajiunga na Kristo" (UDB)
# kamili wewe
"kukurejesha"
# kuanzisha wewe
"kukuweka salama"