sw_tn/luk/08/40.md

36 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ujumbe wa kuunganisha:
wakati Yesu na wanafunzi wake waliporudi Galilaya upande mwingine wa ziwa, alimponya binti wa mtawala wa sinagogi mwenye miaka 12 na pia mwnamke aliyekuwa akitokwa na damu miaka 12.
# taarifa za jumla
Mistari hii inatupa taarifa za nyuma kuhusu Yairo.
# makutano wakamkaribisha
"Kwa furaha ya makutano wakamsalimia"
# Tazama akaja mtu mmoja anaitwa Yairo
Neno "Tazama" linatutazamisha sis kwa Yairo kama mtu mpya katika habari hii. lugha yako inaweza kukawa na njia nyingine ya kufanya hivi. "Kulikuwa na mtu aliyeitwa Yairo."
# mmoja kati ya viongozi katika sinagogi
"mmoja wa viongozi katika sinagogi la mtaa" au "'kiongozi wa watu walikutana kwenye sinagogi katika eneo hilo"
# akaanguka miguuni pa Yesu
2021-09-10 23:29:28 +00:00
(1) "Alianguka kwenye miguu ya Yesu" au (2) "alilala chini kwenye ardhi katika miguu ya Yesu." Yairo akuanguka kwa ajali. alifanya vile kama ishara ya ubinadamu na heshima kwa Yesu.
2018-04-12 01:01:04 +00:00
# alikuwa katika hali ya kufa
"alikuwa katika hali ya kufa" au "alikuwa karibu na kifo"
# Na alipokuwa akienda
Watafsiri wengine wanaweza kusema kwanza, "Hivyo Yesu alikubali kwenda na yule mtu."
# makutano walikuwa wakimsukuma dhidi yake
"makutano walikuwa wakijaa kwa kubanana kumzunguka Yesu"