forked from WA-Catalog/sw_tn
48 lines
1.2 KiB
Markdown
48 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# Sentensi unganishi
|
||
|
|
||
|
Yesu anaendelea kuwawleza wanafunziwake kuhusu mfano wa mpanzi
|
||
|
|
||
|
# aliyepandwa
|
||
|
|
||
|
hii ni mbegu iliyopandwa au iliyoanguka
|
||
|
|
||
|
# iliyopandwa kati ya miiba
|
||
|
|
||
|
ardhi ilyo na miiba amabapo mbegu ilipandwa
|
||
|
|
||
|
# huyu ni yule
|
||
|
|
||
|
inamaanisha mtu
|
||
|
|
||
|
# neno
|
||
|
|
||
|
inaanisha ujumbe wa Mungu
|
||
|
|
||
|
# masumbuko ya ulimwengu na udanganyifu wa utajiri hulisonga lile nenoi
|
||
|
|
||
|
Yesu anaongelea masumbufu ya ulimwengu na udanganyifu wa utajiri hugeuza nia ya mtu na kushindwa kutii neno la Mungu kama vile magugu yanavyoweza kuuelemea mmea na kushindwa kukua.
|
||
|
|
||
|
# masumbko ya ulimwengu
|
||
|
|
||
|
"mamabo ya dunia ambayo huwafanyawatu wawe na mashaka
|
||
|
|
||
|
# udanganyifu wa utajiri
|
||
|
|
||
|
Yesu anautumia utajiri kama mtu adanganyaye watu. Hii inamaanisha kuwa watu hudhani kuwa na pesa nyingi huwafanya kuwa na furaha, lakini si kweli.
|
||
|
|
||
|
# lisije likazaa matunda
|
||
|
|
||
|
kutokuzaa matunda
|
||
|
|
||
|
# aliyepandwa kwenye udongo mzuri
|
||
|
|
||
|
kwenye udongo mzuri ambapo mbegu zilipandwa
|
||
|
|
||
|
# azaaye matunda na kuendela kuzaa
|
||
|
|
||
|
Hapa mtu amefananishwa na mti uzaao. "Kama mti wenye afya uzaoa matunda, ambaye ni mzalishaji.
|
||
|
|
||
|
# kuzaa moja zaidi ya mara mia, nyingine sitini, nyingine thelatiini
|
||
|
|
||
|
watu wengine huzalisha 100 mara, wengine 60 na wengine 30.
|