sw_tn/2co/08/18.md

26 lines
650 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# pamoja naye
"pamoja na Tito"
# Sentensi hii yaweza kusemwa hivi: "ndugu ambaye anasifiwa miongoni mwa makanisa yote.
# ndugu ambaye anasifiwa miongoni mwa makanisa
Yaweza kusemwa hivi: "ndugu ambaye miongoni mwa waamini wa makanisa humsifu"
# Si hivi tu
"Siyo waamini wote wa makanisa humsifu yeye"
# lakini pia alichaguliwa na makanisa
Sentensi hii yaweza kusemwa: "yeye pia alichaguiwa na makanisa'
# katika kulibeba sehemu mbalimbali tendo hili la ukarimu.
"kupeleka kwa wengine tendo hili la ukarimu " Hii ina maanisha kuchukua matoleo kupeleka Yerusalemu.
# kwa shauku yetu ya kusaidia.
"kuonyesha kwa vitendo utayari kusaidia"