sw_tn/php/03/08.md

56 lines
1.6 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa kweli
"Kwa uhakika"au Kweli kweli"
# Nayahesabu
anaelezea na kuweka msisitizo tangu pale paulo alipo acha kuwa Falisayo na kuwa mfuasi na muumini wa Yesu Kristo
# Nayahesabu mambo yote kuwa bure
Paulo anaeleza kuwa ni upuuzi kuweka matumaini katika mambo mengine pasipo Kristo Yesu
# kwa sababu ya ubora wa kumjua Kristo Yesu Bwana wangu ni wathamani zaidi"
kwa sababu ya kumjua Kristo Yesu Bwana wangu
# Kwa ajili yake nimeacha mambo yote
"Kwa sababu yake ninatarajia kutupa kila kitu mbali"
# kuweka mbali
tumia neno lako unalifahamu kwa ajili ya usivyovihitaji milele.
# Nayahesabu kama takataka
Paulo anazungumzia vitu ambavyo alivyokuwa anavitumainia lakini baadae anaviona kama takataka na kuvitupa kwenye jalala.
# ili nimpate Kristo
"ili nimpate Kristo peke yake"
# na niwe ndani yake
Kirai "kupata" ni lugha ambayo inasisitiza wazo la "kuwa" "na kuwa pamoja na Kristo"
# Sina haki yangu binafsi kutoka kwenye sheria
"Sijaribu kumpendeza Mungu mimi mwenyewe kwa kutii sheria"
# Nguvu ya ufufuo wake
"Ni kufahamu nguvu ya ile itupayo uzima"
# ushirika katika mateso yake
ni ile hali ya kushiriki mateso yake
# Na nimebadilishwa na Kristo katika mfano wa kifo chake
Neno "badilisha"lina maanisha kugeuza kitu katika hali nyingine kifo cha kimeleta matokeo katika uzima wa milel. Hivyo Paulo anataka kifo chake kifanane na kile cha Yesu,kwamba aweze kuupata uzima wa milele
# angalau niweze kuwa na matumaini katika ufufuo wa wafu
Neno "angalau" Paulo hajui nini kinakwenda kutokea katika haya maisha, lakini chochote kitakachotokea, kitakuwa matokeo ya maisha milele. "hivyo basi, haijalishi nini kimetoke sasa, nitaendelea kuishi hata nitakapokufa"