sw_tn/lam/03/16.md

12 lines
315 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Alivunja ... amenisukuma
ni maneno mawili Mungu anayo mnyenyekesha mwandishi
# Nafsi yangu imenyimwa amani
Mwandishi pitii tena furaha au starehe kwenye maisha yake.
# Ustahimilivu wangu umeangamia
"Tafsiri zingine zinasema, "Utukufu wangu umeangamia," lakini hapa "utukufu" una maana ya uvumilivu au uweza.