# Alivunja ... amenisukuma ni maneno mawili Mungu anayo mnyenyekesha mwandishi # Nafsi yangu imenyimwa amani Mwandishi pitii tena furaha au starehe kwenye maisha yake. # Ustahimilivu wangu umeangamia "Tafsiri zingine zinasema, "Utukufu wangu umeangamia," lakini hapa "utukufu" una maana ya uvumilivu au uweza.