sw_tn/ezk/13/17.md

24 lines
536 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwanadamu
Tazama tafsiri yake katika 2:1.
# weka uso wako dhidi
Tazama tafsiri yake katika 4:1.
# binti za watu wako
wanawake wa Israeli
# kutabiri dhidi yao
Hii inamaanisha kuunda unabii kutoka kutokana na fikra zao wenyewe.
# hirizi
vitu vilivyoaminika vina nguvu za miujiza.
# kutengeza vitambaa vya shela kwa ajili ya vichwa vyao kwa kila kipimo, ili kuwinda watu
Mapambo yaliyovaliwa na manabii yalikuwa kama "mtego" kwa sababu walikuwa wakitumia uzuri, fumbo na uongo kutega watu ili wawaamini na kuasi juu ya Mungu.