sw_tn/eph/06/01.md

8 lines
192 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sentensi unganishi
Paulo anatoa maelekezo kwa watoto, wababa, wafanya kazi, na mabwana.
# Watoto watiini wazazi wenu katika Bwana
Paulo anarejea kwa watoto kuwatii wazazi wao wa kimwili.