sw_tn/2ti/02/11.md

20 lines
673 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Msemo huu
"maneno haya"
# Kufa
Hapa hii ina maana mtu kufa kwa nafsi yake. Kwa maneno mengine, kukataa kutoka katika tamaa yake mwenyewe.
# tusipokuwa waaminifu
"hatakama tunamkosea Mungu" au "hatakama hatuwezi kufanya nini tunaamini Mungu anataka tufanye"
# Yeye hawezi kujikana mwenyewe
"Yeye lazima daima hutenda kulingana na tabia yake" au "hawezi kutenda katika njia ambazo ni kinyume cha tabia yake halisi"
# Ikiwa tumekufa pamoja naye ... hawezi kujikana mwenyewe
Hii ni kama wimbo au shairi ambalo Paulo ananukuu. Kama kwenye lugha yako kuna namna ya kuielezea kama shairi unaweza kutumia hapa. Kama hamna unaweza kutafsiri kama sentensi na sio shairi.