sw_tn/1co/07/01.md

20 lines
436 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Paulo anatoa maelekezo mahususi juu ya ndoa
# Sasa
paulo anatambulisha mada mpya katika mafundisho yake
# Vitu mlivyoandika kwangu
Wakorintho walikwisha andika barua kwa Paulo kuomba kupatiwa majibu kuhusu baadhi ya maswali.
# kwa mwanaume
Hapa ina maanisha mwanume mwenzi au mme
# Lakini kwa sababu ya majaribu kwa matendo mengi maovu
'Lakini kwa sababu Shetani anawajaribu watu kutenda dhambi ya uzinzi'