sw_tn/col/01/11.md

24 lines
752 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tunawaombea
Neno 'sisi' linaonyesha Paulo naTimotheo lakini si Wakolosai
# katika uvumilivu na ustahivu
Paulo anawazungumzia waamini Wakolosai kana kwamba Mungu atawahamishia eneo la uvumilivu. Katika uhalisia, anaomba kwamba hataacha kumwamini Mungu na kwamba watakuwa wavumilivu kikamilifu kadiri waendeleavyo kumhesimu.
# aliyewafanya muweze kuwa na sehemu
"amewaruhusu kuwa na sehemu"
# mmestahilishwa
Hapa Paulo analenga kwa wasomaji wake kama wapokeaji wa baraka za Mungu.Hamanishi kuwa yeye mwenyewe hana ushirika katikabaraka zile.
# Kwa ushirikakatika urithi
Kupokea ambacho Mungu amewaahidi waamini kinazungumziwa kana kwamba kulikuwa na kitu cha kurithi na wanafamilia kurithishwa.
# Katika Mwanga
"Kaika utukufu wa uwepo wake"