sw_tn/1ch/01/01.md

8 lines
370 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wana wa Nuhu walikuwa ni Shemu, Hamu, na Yafethi
Tafsiri zingine, pamoja na ULB na UDB, za usisha "Wana wana" ili kuweka wazi kuwa Shemu, Hamu, na Yafethi walikuwa ni ndugu na wana wa Nuhu. Lasihivyo, msomaji ata dhani kila mtu aliwakilisha kizazi kimoja mbali na Nuhu, babu yao.
# Enoshi, Kenani, Mahalaleli, Yaredi ... Methusela
Haya majina ni orodha ya mababu.