forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
834 B
Markdown
32 lines
834 B
Markdown
|
# Lakini
|
||
|
|
||
|
"kwa hiyo"
|
||
|
|
||
|
# Fikiria hili.
|
||
|
|
||
|
"fikiria kuhusu hili ninalokwenda kukwambia"
|
||
|
|
||
|
# Mtu
|
||
|
|
||
|
Tumia neno la jumla kwa binadamu.
|
||
|
|
||
|
# Wewe unayewahukumu wanaofanya mambo hayo japokuwa na wewe unafanya vivyo hivyo.
|
||
|
|
||
|
"Wewe unayesema mtu anastahili adhabu ya Mungu wakati unafanya mambo maovu"
|
||
|
|
||
|
# Je utaepuka hukumu ya Mungu?
|
||
|
|
||
|
"hautaepuka hukumu ya Mungu!"
|
||
|
|
||
|
# Au unadharau utajiri wa wema wake, na hukumu yake iliyochelewa, na uvumilivu... tubu?
|
||
|
|
||
|
"Unajifanya kama hujali kwamba Mungu nimwema na ni mvumilivu akisubiria muda mrefu kabla ya kuwahukumu watu, kwa hiyo wema wake utasababisha watu watubu."
|
||
|
|
||
|
# Unadharau utajiri wake... uvumilivu
|
||
|
|
||
|
"fikiria utajiri... uvumilivu sio muhimu" au "fikiria... sio vizuri"
|
||
|
|
||
|
# HaUjui kuwa wema wake una maana ya kukusababisha utubu?
|
||
|
|
||
|
"Unatakiwa ufahamu kuwa Mungu anakuonyesha kuwa ni mwema hivyo utubu."
|