sw_tn/psa/059/003.md

12 lines
320 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wanasubiri kunivamia ili kuchukua uhai wangu
Adui wa Daudi wako katika maficho na wanasubiri kwa utulivu kwa muda ambao watamvamia.
# amka
Kuamua kufanya kitu na kuanza kukifanya inazungumziwa kama kuamka. "fanya kitu" au "chukua hatua"
# na uone
"na tazama kinachotokea kwangu" au "na uone wanachonifanyie mimi"