# wanasubiri kunivamia ili kuchukua uhai wangu Adui wa Daudi wako katika maficho na wanasubiri kwa utulivu kwa muda ambao watamvamia. # amka Kuamua kufanya kitu na kuanza kukifanya inazungumziwa kama kuamka. "fanya kitu" au "chukua hatua" # na uone "na tazama kinachotokea kwangu" au "na uone wanachonifanyie mimi"