sw_tn/psa/053/006.md

20 lines
614 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# O, kwamba wokovu wa Israeli uje
Neno "O" hapa linatambulisha mshangao unaoonesha matumaini au ombi. "Natumaini kuwa wokovu wa Israeli utakuja" au "Ninaomba kwamba wokovu uje"
# wokovu wa Israeli uje kutoka Sayuni
Wokovu unaashiria Mungu, mwokozi, ambaye hekalu lake liko Sayuni. "mwokozi wa Israeli utakuja kutoka Sayuni" au "Mungu atakuja kutoka Sayuni na kuokoa Israeli"
# Mungu atakapo warudisha watu wake kutoka mateka
"Mungu atakapo okoa watu wake wafungwa"
# Yakobo atasherehekea na Israeli kufurahi!
Misemo hii miwili ina maana moja.
# Yakobo
Hapa "Yakobo" inamaanisha uzao wa Yakobo, Waisraeli.