sw_tn/psa/049/016.md

12 lines
441 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# utukufu wa nyumba yake unaongezeka
neno "utukufu" hapa unamaanisha mali au utajiri. Maana zinazowezekana ni 1) "atakapopata utajiri zaidi katika nyumba yake" au 2) "familia yake inapokuwa tajiri zaidi."
# hatachukua kitu
"hatachukua kitu chochote kwenda nacho kaburini"
# utukufu wake hautamfuata chini
Msemo "kwenda chini" unamaanisha wakati mtu anapokufa. "utukufu wake hautamfuata atakapokufa" au "hatatunza sifa yake atakapokufa"