# utukufu wa nyumba yake unaongezeka neno "utukufu" hapa unamaanisha mali au utajiri. Maana zinazowezekana ni 1) "atakapopata utajiri zaidi katika nyumba yake" au 2) "familia yake inapokuwa tajiri zaidi." # hatachukua kitu "hatachukua kitu chochote kwenda nacho kaburini" # utukufu wake hautamfuata chini Msemo "kwenda chini" unamaanisha wakati mtu anapokufa. "utukufu wake hautamfuata atakapokufa" au "hatatunza sifa yake atakapokufa"