Paulo alifananisha maisha ndani ya Yesu kan kwamba alikuwa kwa mashindano ya kupiga mbio. Alimaanisha kwamba alihitaji kuendelea kufanya bidii sana hata kama mambo hayakumwendea vyema mpaka akataka kuachia njiani. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor and rc://*/tw/dict/bible/kt/discipline)
Paulo alifikiri kwamba Roho Mtakatifu alimhitaji aende Yerusalemu hata kama yeye hakutaka. Huyo Roho Mtakatifu pia aliwaambia watu wengine kwamba Paulo atakapofika Yerusalemu watu watajaribu kumdhuru.