sw_tn/1jn/05/intro.md

28 lines
851 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Yohana 05 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Watoto waliozaliwa kutoka kwa Mungu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Watu wanapoamini Yesu, Mungu huwafanya watoto wake na kuwapa uzima wa milele. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/believe)
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kuishi Kikristo
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Watu wanaomwamini Yesu wanapaswa kutii amri za Mungu na kupenda watoto wake.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kifo
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Wakati Yohana anaandika juu ya kifo katika sura hii, anaelezea kifo cha kimwili. (See: rc://*/tw/dict/bible/other/death)
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Ulimwengu wote upo katika uwezo wa mwovu"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Maneno "yule mwovu" yanamaanisha Shetani. Mungu amemruhusu aongoze ulimwengu, lakini hatimaye Mungu ana mamlaka juu ya kila kitu. Mungu anawaweka watoto wake salama mbali na mwovu. (See: rc://*/tw/dict/bible/kt/satan)
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[1 John 05:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../04/intro.md) | __