sw_tn/rom/16/19.md

13 lines
374 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa mfano wa utii wenu mwamfikia kila mmoja
"Wakati mnapomtii Yesu kila mmoja husikia hivyo"
# Mungu wa amani hatakawia kumwangamiza Shetani chini ya nyayo zenu
Kivumishi "kumwangamiza chini ya nyayo" kinafafanua ushindi kamili juu ya adui. "Mungu hatakawia kukupa amani ya ushindi kamili dhidi ya Shetani"
# bila hatia mbele ya uovu
"Bila kuchanganywa katika uovu"