forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
798 B
Markdown
33 lines
798 B
Markdown
|
# Kwa kuwa
|
||
|
|
||
|
Paulo anaeleza nini kitatokea ikiwa serikali itamtia hatiani mtu.
|
||
|
|
||
|
# Watawala si watu wa kuogofya
|
||
|
|
||
|
Watawala hawafanyi watu waogope.
|
||
|
|
||
|
# Kwa mema... kwa maovu
|
||
|
|
||
|
Watu hutambulika kwa " matendo yao mema" au " matendo yao mabaya"
|
||
|
|
||
|
# Je unatamani kuwa mwenye kuogopa mamlaka
|
||
|
|
||
|
"Ngoja nikueleze jinsi ya kuogopa mamlaka"
|
||
|
|
||
|
# Utasifiwa kutokana na hiyo
|
||
|
|
||
|
Serikali itasema mambo mazuri juu ya wale watendao mema.
|
||
|
|
||
|
# Habebi upanga bila sababu
|
||
|
|
||
|
"Anabeba upanga kwa sababu iliyo njema" au " anauwezo wa kuwaadhibu watu, na atawaadhibu watu."
|
||
|
|
||
|
# Mlipakisasi kwa gadhabu
|
||
|
|
||
|
" Mtu anaye adhibu watu kama maelezo ya hasira ya serokali dhidi ya maasi"
|
||
|
|
||
|
# Si tu kwa sababu ya gadhabu, lakini pia kwa sababu ya dhamiri.
|
||
|
|
||
|
"Siyo tu kwamba serikali haitawaadhibu, bali pia utakuwa na dhamiri safi mbele za Mungu"
|
||
|
|