sw_tn/rom/03/11.md

17 lines
396 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Hakuna mtu ambaye anaelewa
"Hakuna mtu kweli anatambua ukweli wa Mungu"
# Hakuna mtu ambaye anamtafuta Mungu
'Hakuna mtu wa dhati anaejaribu kuwa na uhusiano mwema na Mungu'
# akageuka mbali
Hapa hii ina maana kuacha kufanya kitu fulani. AT "kukataliwa Mungu na mapenzi ya haki yake kwa ajili yao"
# kuwa haina maana
"zimeharibika mbali kama mapenzi ya Mungu kwa ajili yao ni wasiwasi"