sw_tn/rev/21/11.md

25 lines
572 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Yerusalemu
Hii inamaanisha "Yerusalemu kushuka kutoka mbinguni" ambayo ameieleza katika mstari uliopita na sio Yerusalemu halisia.
# kama kito cha thamani, kama jiwe la yaspi jeupe kama kioo
yaspi safi** - Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja. Ya pili inasisitiza ubora wa Yerusalemu kwa kutaja bayana aina ya yaspi.
# jeupe kama kioo
nyeupe*** "nyeupe sana"
# yaspi
Hili ni jiwe la dhamani. Yaspi inawezakana kuwa ilkuwa nyeupe kama kioo.
# milango kumi na miwili
"milango 12"
# pameandikwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "mtu aliapaandika"