forked from WA-Catalog/sw_tn
17 lines
489 B
Markdown
17 lines
489 B
Markdown
|
# Walikuwa wakiimba
|
||
|
|
||
|
"Wale waliokuwa washindi dhidi ya mnyama walikuwa wakiimba"
|
||
|
|
||
|
# Nani atashindwa kukuhofu wewe Bwana na kulitukuza jina lako?
|
||
|
|
||
|
Swali hili linatumika kuonesha kushangazwa kwao na jinsi gani Bwana alivyo mkuu na mtukufu. Inaweza kuelezwa kama mshangao. "Bwana, watu wote watakuogopa na kutukuza jina lako!"
|
||
|
|
||
|
# kulitukuza jina lako
|
||
|
|
||
|
Usemi huu "jina lako" inamaanisha Mungu. "na kukutukuza wewe"
|
||
|
|
||
|
# matendo yako yamejulikana
|
||
|
|
||
|
"umewafanya watu wote wajue matendo yako mema"
|
||
|
|